Monday, September 10, 2012
KADI ZA MAGAMBA NA MAGWANDA ZILIRUDISHWA
Hizi ni baadi ya Kadi za ccm na chadema zilizo rusdiswa kwenye mkutano wa tarehe 09/09/2012 uliofanyika viwanja vya jagwani, mpata tunairusha habari hii kadi za ccm zilizorudishwa zilikuwa 319 na za chadema zilikuwa 201, katika hizo za chadema moja ni ya aliyekuwa KATIBU MUENEZI WA CHADEMA WA WILAYA YA WETE Ndugu ALLY ISSA MOHAMED OMARY
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment